Hao maofisa wakuu, waliokuwa juu ya kazi yake Sulemani, walikuwa mia tano na hamsini, waliowasimamia watu watendao kazi.
1 Wafalme 5:16 - Swahili Revised Union Version mbali na maafisa wake Sulemani waliokuwa wakuu wa kazi wa watu elfu tatu waliotenda kazi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote. Biblia Habari Njema - BHND mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote. Neno: Bibilia Takatifu pamoja na wasimamizi elfu tatu mia tatu ambao walisimamia mradi huo na kuwaelekeza wafanyakazi. Neno: Maandiko Matakatifu pamoja na wasimamizi 3,300 ambao walisimamia kazi hiyo na kuwaongoza wafanyakazi. BIBLIA KISWAHILI mbali na maafisa wake Sulemani waliokuwa wakuu wa kazi wa watu elfu tatu waliotenda kazi. |
Hao maofisa wakuu, waliokuwa juu ya kazi yake Sulemani, walikuwa mia tano na hamsini, waliowasimamia watu watendao kazi.
Sulemani akahesabu watu elfu sabini wawe wapagazi, na watu elfu themanini wawe wachonga mawe milimani, na watu elfu tatu na mia sita wawe wasimamizi wao.