Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 5:15 - Swahili Revised Union Version

15 Sulemani alikuwa na wapagazi elfu sabini na wakatao miti milimani elfu themanini;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Solomoni alikuwa pia na wachukuzi wa mizigo 70,000, na wachongaji mawe milimani 80,000,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Solomoni alikuwa pia na wachukuzi wa mizigo 70,000, na wachongaji mawe milimani 80,000,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Solomoni alikuwa pia na wachukuzi wa mizigo 70,000, na wachongaji mawe milimani 80,000,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Sulemani alikuwa na wachukuzi wa mizigo elfu sabini, na wachonga mawe elfu themanini huko vilimani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Sulemani alikuwa na wachukuzi wa mizigo 70,000 na wachonga mawe 80,000 huko vilimani,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Sulemani alikuwa na wapagazi elfu sabini na wakatao miti milimani elfu themanini;

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 5:15
13 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma wajumbe kwa Daudi, akampelekea na mierezi, na maseremala, na waashi; nao wakamjengea Daudi nyumba.

Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma wajumbe kwa Daudi, akampelekea na mierezi, na waashi, na maseremala, ili wamjengee nyumba.

Basi Sulemani alikusudia kujenga nyumba kwa jina la BWANA, na kuujengea ufalme wake nyumba.

Sulemani akahesabu watu elfu sabini wawe wapagazi, na watu elfu themanini wawe wachonga mawe milimani, na watu elfu tatu na mia sita wawe wasimamizi wao.

Wanethini wote, pamoja na wazawa wa watumishi wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.

Wazawa wa watumishi wa Sulemani; Wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;

Wanethini wote, pamoja na wazawa wa watumishi wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.

Binti mfalme yumo ndani ana fahari tupu, Mavazi yake ni ya nyuzi za dhahabu.

kisha mpaka ulizunguka kuelekea Rama, na mji wa Tiro ulio na boma; kisha mpaka ulizunguka kuelekea Hosa; na matokeo yake yalikuwa baharini katika nchi ya Akzibu;

Wakuu waliwaambia, Waacheni wawe hai; basi wakawa wenye kupasua kuni, na wenye kuteka maji, kwa ajili ya mkutano wote; vile vile kama hao wakuu walivyowaambia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo