1 Wafalme 5:16 - Swahili Revised Union Version16 mbali na maafisa wake Sulemani waliokuwa wakuu wa kazi wa watu elfu tatu waliotenda kazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 pamoja na wasimamizi elfu tatu mia tatu ambao walisimamia mradi huo na kuwaelekeza wafanyakazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 pamoja na wasimamizi 3,300 ambao walisimamia kazi hiyo na kuwaongoza wafanyakazi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 mbali na maafisa wake Sulemani waliokuwa wakuu wa kazi wa watu elfu tatu waliotenda kazi. Tazama sura |