1 Wafalme 9:23 - Swahili Revised Union Version23 Hao maofisa wakuu, waliokuwa juu ya kazi yake Sulemani, walikuwa mia tano na hamsini, waliowasimamia watu watendao kazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu waliohusika na uangalizi wa kazi ya Solomoni: Watu 550, hao ndio waliosimamia watu waliofanya kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu waliohusika na uangalizi wa kazi ya Solomoni: Watu 550, hao ndio waliosimamia watu waliofanya kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu waliohusika na uangalizi wa kazi ya Solomoni: watu 550, hao ndio waliosimamia watu waliofanya kazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Pia walikuwa maafisa wakuu wasimamizi wa miradi ya Sulemani: maafisa mia tano na hamsini waliwasimamia watu waliofanya kazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Pia walikuwa maafisa wakuu wasimamizi wa miradi ya Sulemani: maafisa 550 waliwasimamia watu waliofanya kazi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Hao maofisa wakuu, waliokuwa juu ya kazi yake Sulemani, walikuwa mia tano na hamsini, waliowasimamia watu watendao kazi. Tazama sura |