Basi wakatafuta msichana mzuri katika nchi yote ya Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
1 Wafalme 2:21 - Swahili Revised Union Version Naye akasema, Nataka Adonia, ndugu yako, aozwe Abishagi, Mshunami. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.” Biblia Habari Njema - BHND Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.” Neno: Bibilia Takatifu Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adoniya.” Neno: Maandiko Matakatifu Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adoniya.” BIBLIA KISWAHILI Naye akasema, Nataka Adonia, ndugu yako, aozwe Abishagi, Mshunami. |
Basi wakatafuta msichana mzuri katika nchi yote ya Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
Naye msichana huyo alikuwa mzuri sana; akamtunza mfalme, akamtumikia; lakini mfalme hakumjua.