1 Wafalme 1:4 - Swahili Revised Union Version4 Naye msichana huyo alikuwa mzuri sana; akamtunza mfalme, akamtumikia; lakini mfalme hakumjua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Msichana huyo, alikuwa mzuri sana. Basi, akaanza kumtumikia na kumtunza mfalme; lakini mfalme hakulala naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Msichana huyo, alikuwa mzuri sana. Basi, akaanza kumtumikia na kumtunza mfalme; lakini mfalme hakulala naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Msichana huyo, alikuwa mzuri sana. Basi, akaanza kumtumikia na kumtunza mfalme; lakini mfalme hakulala naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Msichana huyo alikuwa mzuri sana wa sura. Akamtunza mfalme na kumhudumia, lakini mfalme hakufanya naye tendo la ndoa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Msichana huyo alikuwa mzuri sana wa sura, akamtunza mfalme na kumhudumia, lakini mfalme hakufanya naye tendo la ndoa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Naye msichana huyo alikuwa mzuri sana; akamtunza mfalme, akamtumikia; lakini mfalme hakumjua. Tazama sura |