Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 2:20 - Swahili Revised Union Version

20 Ndipo akasema, Haja moja ndogo nakuomba; usinikatalie. Mfalme akamwambia, Omba, mama; kwa kuwa siwezi kukukatalia neno.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Bathsheba akasema, “Nina ombi dogo tafadhali ulikubali, na ninakuomba usinikatalie.” Mfalme akamwambia, “Sema ombi lako mama yangu, kwa sababu sitakukatalia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Bathsheba akasema, “Nina ombi dogo tafadhali ulikubali, na ninakuomba usinikatalie.” Mfalme akamwambia, “Sema ombi lako mama yangu, kwa sababu sitakukatalia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Bathsheba akasema, “Nina ombi dogo tafadhali ulikubali, na ninakuomba usinikatalie.” Mfalme akamwambia, “Sema ombi lako mama yangu, kwa sababu sitakukatalia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Bathsheba akamwambia mfalme, “Ninalo ombi moja dogo la kukuomba; usinikatalie.” Mfalme akajibu, “Omba, mama yangu; sitakukatalia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Bathsheba akamwambia mfalme, “Ninalo ombi moja dogo la kukuomba; usinikatalie.” Mfalme akajibu, “Omba, mama yangu; sitakukatalia.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

20 Ndipo akasema, Haja moja ndogo nakuomba; usinikatalie. Mfalme akamwambia, Omba, mama; kwa kuwa siwezi kukukatalia neno.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 2:20
11 Marejeleo ya Msalaba  

Basi sasa nina haja moja ninayokuomba, usinikataze hiyo. Naye akamwambia, Sema.

Naye akasema, Nataka Adonia, ndugu yako, aozwe Abishagi, Mshunami.

Lakini nawaambieni, itakuwa rahisi nchi ya Sodoma kustahimili adhabu yake siku ya hukumu kuliko wewe.

Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lolote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.

Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lolote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo