Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 2:21 - Swahili Revised Union Version

21 Naye akasema, Nataka Adonia, ndugu yako, aozwe Abishagi, Mshunami.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Naye akasema, “Mruhusu ndugu yako Adoniya amwoe Abishagi, huyo Mshunami.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adoniya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adoniya.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Naye akasema, Nataka Adonia, ndugu yako, aozwe Abishagi, Mshunami.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 2:21
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakatafuta msichana mzuri katika nchi yote ya Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.

Naye msichana huyo alikuwa mzuri sana; akamtunza mfalme, akamtumikia; lakini mfalme hakumjua.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo