1 Wafalme 17:2 - Swahili Revised Union Version Neno la BWANA likamjia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Elia: Biblia Habari Njema - BHND Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Elia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Elia: Neno: Bibilia Takatifu Kisha neno la Mwenyezi Mungu likamjia Ilya, kusema, Neno: Maandiko Matakatifu Kisha neno la bwana likamjia Ilya, kusema, BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likamjia, kusema, |
Basi Eliya Mtishbi, wa wageni wa Gileadi, akamwambia Ahabu, Kama BWANA, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninasimama mbele zake, hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii, ila kwa neno langu.
Ondoka hapa, geuka, uende upande wa mashariki, ujifiche karibu na kijito cha Kerithi kinachokabili Yordani.