Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 17:8 - Swahili Revised Union Version

8 Neno la BWANA likamjia, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu, lilimjia Elia:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu, lilimjia Elia:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu, lilimjia Elia:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kisha neno la Mwenyezi Mungu likamjia Ilya, kusema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kisha neno la bwana likamjia, kusema,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Neno la BWANA likamjia, kusema,

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 17:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akapaita mahali hapo Yehova-yire, kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa BWANA itapatikana.


Neno la BWANA likamjia, kusema,


Ikawa, baada ya siku kupita, kile kijito kikakatika, kwa sababu mvua haikunyesha katika nchi.


Ondoka, uende Sarepta, ulio mji wa Sidoni, ukae huko. Tazama, nimemwagiza mwanamke mjane wa huko akulishe.


Maskini na wahitaji wanatafuta maji, wala hapana; ndimi zao zimekauka kwa kiu; mimi, BWANA, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha.


Hata tunathubutu kusema, Bwana ndiye anisaidiaye, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo