Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo;
1 Timotheo 1:8 - Swahili Revised Union Version Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo halali; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo. Biblia Habari Njema - BHND Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo. Neno: Bibilia Takatifu Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa. Neno: Maandiko Matakatifu Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa. BIBLIA KISWAHILI Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo halali; |
Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo;
Wala msifuate kanuni za dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani, ndani ya mwili wangu, halikai neno jema; kwa kuwa kutaka nataka, bali kutenda lililo jema siwezi.
Basi je! Torati haipatani na ahadi za Mungu? La hasha! Kwa kuwa, kama ingalitolewa sheria iwezayo kuhuisha, hakika haki ingalipatikana kwa sheria.