Nehemia 9:13 - Swahili Revised Union Version13 Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kule mlimani Sinai ulishuka toka mbinguni na kuzungumza nao. Ukawapa maagizo safi, sheria za kweli, kanuni nzuri na amri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kule mlimani Sinai ulishuka toka mbinguni na kuzungumza nao. Ukawapa maagizo safi, sheria za kweli, kanuni nzuri na amri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kule mlimani Sinai ulishuka toka mbinguni na kuzungumza nao. Ukawapa maagizo safi, sheria za kweli, kanuni nzuri na amri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Ulishuka katika Mlima Sinai, ukanena nao kutoka mbinguni. Uliwapa masharti ya kweli na haki, na sheria za kweli na haki, na pia amri na maagizo mazuri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Ulishuka katika Mlima Sinai, ukanena nao kutoka mbinguni. Uliwapa masharti na sheria zile ambazo ni za kweli na haki, pia amri na maagizo mazuri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo; Tazama sura |