Ikawa Yeremia alipokwisha kuwaambia watu wote maneno yote ya BWANA, Mungu wao, ambayo BWANA, Mungu wao, amemtuma kwao, yaani, maneno hayo yote,
1 Samueli 8:10 - Swahili Revised Union Version Naye Samweli akawaambia wale watu waliotaka mfalme maneno yote ya BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Samweli akawaambia wale watu waliokuwa wakiomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Samweli akawaambia wale watu waliokuwa wakiomba wapewe mfalme maneno yote ya bwana. BIBLIA KISWAHILI Naye Samweli akawaambia wale watu waliotaka mfalme maneno yote ya BWANA. |
Ikawa Yeremia alipokwisha kuwaambia watu wote maneno yote ya BWANA, Mungu wao, ambayo BWANA, Mungu wao, amemtuma kwao, yaani, maneno hayo yote,
Akasema, Mfalme atakayewatawala ninyi atakuwa na desturi hii; atatwaa wana wenu na kuwaweka kwake, katika magari yake, na kuwa wapanda farasi wake; nao watapiga mbio mbele ya magari yake.