1 Samueli 8:10 - Swahili Revised Union Version10 Naye Samweli akawaambia wale watu waliotaka mfalme maneno yote ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Samweli akawaambia wale watu waliokuwa wakiomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Samweli akawaambia wale watu waliokuwa wakiomba wapewe mfalme maneno yote ya bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Naye Samweli akawaambia wale watu waliotaka mfalme maneno yote ya BWANA. Tazama sura |