Naye akarudisha mali zote, akamrudisha Lutu nduguye na mali zake, na wanawake pia, na watu.
1 Samueli 30:18 - Swahili Revised Union Version Daudi akawapokonya wote waliokuwa wamechukuliwa na Waamaleki; naye Daudi akawaokoa wakeze wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili. Biblia Habari Njema - BHND Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili. Neno: Bibilia Takatifu Daudi akarudisha kila kitu ambacho Waamaleki walikuwa wamechukua, pamoja na wake zake wawili. Neno: Maandiko Matakatifu Daudi akarudisha kila kitu Waamaleki walikuwa wamechukua, pamoja na wake zake wawili. BIBLIA KISWAHILI Daudi akawapokonya wote waliokuwa wamechukuliwa na Waamaleki; naye Daudi akawaokoa wakeze wawili. |
Naye akarudisha mali zote, akamrudisha Lutu nduguye na mali zake, na wanawake pia, na watu.
wakawatwaa watu wote, wakaenda ili kupigana na Ishmaeli, mwana wa Nethania, nao wakampata karibu na maji makuu ya Gibeoni.
wakamwambia Musa wakisema, Sisi watumishi wako tumefanya jumla ya hesabu ya watu wa vita walio chini ya mikono yetu, na hapana hata mmoja aliyetupungukia.
Daudi akauliza kwa BWANA, akasema, Je! Nikiwafuata jeshi hili, nitawapata? Naye akamjibu, Fuata; kwa kuwa hakika utawapata, nawe hukosi utawapokonya wote.