1 Samueli 30:18 - Swahili Revised Union Version18 Daudi akawapokonya wote waliokuwa wamechukuliwa na Waamaleki; naye Daudi akawaokoa wakeze wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Daudi aliokoa kila kitu Waamaleki walichokuwa wamekiteka, hata na wake zake wawili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Daudi akarudisha kila kitu ambacho Waamaleki walikuwa wamechukua, pamoja na wake zake wawili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Daudi akarudisha kila kitu Waamaleki walikuwa wamechukua, pamoja na wake zake wawili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Daudi akawapokonya wote waliokuwa wamechukuliwa na Waamaleki; naye Daudi akawaokoa wakeze wawili. Tazama sura |