Mwanzo 14:16 - Swahili Revised Union Version16 Naye akarudisha mali zote, akamrudisha Lutu nduguye na mali zake, na wanawake pia, na watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, Abramu akaikomboa mali yote iliyotekwa na adui, na kumkomboa Loti mpwa wake, mali yake, pamoja na wanawake na watu wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, Abramu akaikomboa mali yote iliyotekwa na adui, na kumkomboa Loti mpwa wake, mali yake, pamoja na wanawake na watu wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, Abramu akaikomboa mali yote iliyotekwa na adui, na kumkomboa Loti mpwa wake, mali yake, pamoja na wanawake na watu wengine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Abramu akarudisha mali yote, na akamrudisha Lutu jamaa yake na mali yake, pamoja na wanawake na watu wengine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Akarudisha mali zote, na akamrudisha Lutu jamaa yake na mali zake, pamoja na wanawake na watu wengine. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Naye akarudisha mali zote, akamrudisha Lutu nduguye na mali zake, na wanawake pia, na watu. Tazama sura |