Naye alipoona hayo, aliondoka, akaenda aihifadhi roho yake, akafika Beer-sheba, mji wa Yuda, akamwacha mtumishi wake huko.
1 Samueli 21:10 - Swahili Revised Union Version Basi Daudi akaondoka, akakimbia siku ile, kwa hofu ya Sauli, akamwendea Akishi, mfalme wa Gathi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku hiyo, Daudi alimkimbia Shauli, akaenda kwa mfalme Akishi wa Gathi. Biblia Habari Njema - BHND Siku hiyo, Daudi alimkimbia Shauli, akaenda kwa mfalme Akishi wa Gathi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku hiyo, Daudi alimkimbia Shauli, akaenda kwa mfalme Akishi wa Gathi. Neno: Bibilia Takatifu Siku ile Daudi akamkimbia Sauli na kwenda kwa Akishi mfalme wa Gathi. Neno: Maandiko Matakatifu Siku ile Daudi akamkimbia Sauli na kwenda kwa Akishi mfalme wa Gathi. BIBLIA KISWAHILI Basi Daudi akaondoka, akakimbia siku ile, kwa hofu ya Sauli, akamwendea Akishi, mfalme wa Gathi. |
Naye alipoona hayo, aliondoka, akaenda aihifadhi roho yake, akafika Beer-sheba, mji wa Yuda, akamwacha mtumishi wake huko.
na Yehoyakimu, mfalme, na mashujaa wake wote, na wakuu wake wote, waliposikia maneno yake, mfalme akataka kumwua; lakini Uria alipopata habari, aliogopa, akakimbia akaenda Misri.
Naye Sauli na watu wa Israeli wakakusanyika, wakatua katika bonde la Ela, nao wakapanga vita juu ya hao Wafilisti.
Ndipo Daudi akapiga mbio, akasimama juu ya Mfilisti, akautwaa upanga wake, akaufuta alani mwake, akamwua, akamkata kichwa kwa upanga huo. Nao Wafilisti walipoona ya kuwa shujaa wao amekufa, wakakimbia.
Naye akamwuliza BWANA kwa ajili yake, akampa vyakula, akampa na ule upanga wa Goliathi, Mfilisti.