1 Samueli 22:10 - Swahili Revised Union Version10 Naye akamwuliza BWANA kwa ajili yake, akampa vyakula, akampa na ule upanga wa Goliathi, Mfilisti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ahimeleki alimwombea Daudi kwa Mwenyezi-Mungu, akampa chakula na upanga wa yule Mfilisti Goliathi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ahimeleki alimwombea Daudi kwa Mwenyezi-Mungu, akampa chakula na upanga wa yule Mfilisti Goliathi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ahimeleki alimwombea Daudi kwa Mwenyezi-Mungu, akampa chakula na upanga wa yule Mfilisti Goliathi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ahimeleki akamuuliza Mwenyezi Mungu kwa ajili yake; pia akampa vyakula na ule upanga wa Goliathi Mfilisti.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ahimeleki akamuuliza bwana kwa ajili yake; pia akampa vyakula na ule upanga wa Goliathi Mfilisti.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Naye akamwuliza BWANA kwa ajili yake, akampa vyakula, akampa na ule upanga wa Goliathi, Mfilisti. Tazama sura |