Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 19:3 - Swahili Revised Union Version

3 Naye alipoona hayo, aliondoka, akaenda aihifadhi roho yake, akafika Beer-sheba, mji wa Yuda, akamwacha mtumishi wake huko.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Elia akakimbilia mjini Beer-sheba mkoani Yuda, alikomwacha mtumishi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Elia akakimbilia mjini Beer-sheba mkoani Yuda, alikomwacha mtumishi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Elia akakimbilia mjini Beer-sheba mkoani Yuda, alikomwacha mtumishi wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ilya aliogopa, na akatoroka kuokoa maisha yake. Alipofika Beer-Sheba katika Yuda, akamwacha mtumishi wake huko,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ilya aliogopa, na akakimbia kuokoa maisha yake. Alipofika Beer-Sheba katika Yuda, akamwacha mtumishi wake huko,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Naye alipoona hayo, aliondoka, akaenda aihifadhi roho yake, akafika Beer-sheba, mji wa Yuda, akamwacha mtumishi wake huko.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 19:3
13 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.


Kwa hiyo akapaita mahali pale Beer-sheba, kwa sababu waliapa huko wote wawili.


Yuda na Israeli wakakaa salama, kila mtu chini ya mzabibu wake na chini ya mtini wake, tokea Dani mpaka Beer-sheba, siku zote za Sulemani.


Basi Farao alipopata habari, akataka kumwua Musa; lakini Musa akakimbia kutoka kwa Farao, akakaa katika nchi ya Midiani; akaketi karibu na kisima.


Nami nikisema, Sitamtaja, wala sitasema tena kwa jina lake; basi, ndipo moyoni mwangu kumekuwamo kama moto uwakao, uliofungwa ndani ya mifupa yangu, nami nimechoka kwa kustahimili, wala siwezi kujizuia.


Lakini haya yote yamekuwa, ili maandiko ya manabii yatimizwe. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia.


Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi, kwa wingi wa mafunuo hayo nilipewa mwiba katika mwili, mjumbe wa Shetani ili anipige, nisije nikajivuna kupita kiasi.


Ndipo Daudi aliposema moyoni mwake, Siku moja, basi, mimi nitaangamia kwa mkono wa Sauli; hakuna jema zaidi kwangu kuliko kukimbia mpaka nchi ya Wafilisti; naye Sauli atakata tamaa kunihusu, asinitafute tena kote mipakani mwa Israeli; hivyo nitaokoka katika mikono yake.


Na jina la mwanawe mzaliwa wa kwanza lilikuwa Yoeli; na jina la wa pili Abiya; walikuwa waamuzi katika Beer-sheba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo