Basi Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili awalishe kondoo za baba yake huko Bethlehemu.
1 Samueli 18:2 - Swahili Revised Union Version Sauli akamtwaa siku ile, wala hakumwacha arudi tena nyumbani kwa baba yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. Biblia Habari Njema - BHND Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. Neno: Bibilia Takatifu Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani mwa baba yake. Neno: Maandiko Matakatifu Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. BIBLIA KISWAHILI Sauli akamtwaa siku ile, wala hakumwacha arudi tena nyumbani kwa baba yake. |
Basi Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili awalishe kondoo za baba yake huko Bethlehemu.
Basi Yonathani akamwita Daudi, naye Yonathani akamjulisha mambo hayo yote. Kisha Yonathani akamleta Daudi kwa Sauli, naye alikuwa akihudumu mbele yake, kama hapo awali.