1 Samueli 18:2 - Swahili Revised Union Version2 Sauli akamtwaa siku ile, wala hakumwacha arudi tena nyumbani kwa baba yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani mwa baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Sauli akamtwaa siku ile, wala hakumwacha arudi tena nyumbani kwa baba yake. Tazama sura |