Biblia ya mtandaoni

Matangazo


Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya




1 Samueli 16:9 - Swahili Revised Union Version

Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, Wala BWANA hakumchagua huyu.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu Mwenyezi Mungu hakumchagua.”

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu bwana hakumchagua.”

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, Wala BWANA hakumchagua huyu.

Tazama sura
Tafsiri zingine



1 Samueli 16:9
5 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Amnoni alikuwa na rafiki, jina lake Yonadabu, mwana wa Shama, nduguye Daudi; naye Yonadabu alikuwa mtu mwerevu sana.


Mwana wa Abinadabu katika Nafath-dori yote; ndiye aliyekuwa naye Tafathi binti Sulemani kuwa mke wake.


na Yese akamzaa Eliabu, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Abinadabu, na wa tatu Shama;


Yese akawapitisha wanawe saba mbele ya Samweli. Samweli akamwambia Yese, BWANA hakuwachagua hawa.


Nao wale wana watatu wa Yese waliokuwa wakubwa walikuwa wamefuatana na Sauli kwenda vitani, na majina ya hao wanawe watatu waliokwenda vitani ni haya, mzaliwa wa kwanza Eliabu, na wa pili wake Abinadabu, na wa tatu Shama.