Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 16:10 - Swahili Revised Union Version

10 Yese akawapitisha wanawe saba mbele ya Samweli. Samweli akamwambia Yese, BWANA hakuwachagua hawa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yese aliwapitisha wanawe wote saba mbele ya Samueli lakini Samueli akamwambia, “Mwenyezi-Mungu hajamchagua yeyote kati ya hawa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yese aliwapitisha wanawe wote saba mbele ya Samueli lakini Samueli akamwambia, “Mwenyezi-Mungu hajamchagua yeyote kati ya hawa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yese aliwapitisha wanawe wote saba mbele ya Samueli lakini Samueli akamwambia, “Mwenyezi-Mungu hajamchagua yeyote kati ya hawa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Yese alikuwa na wana saba aliowapitisha mbele ya Samweli, lakini Samweli akamwambia, “Mwenyezi Mungu hajawachagua hawa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Yese alikuwa na wana saba aliowapitisha mbele ya Samweli, lakini Samweli akamwambia, “bwana hajawachagua hawa.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Yese akawapitisha wanawe saba mbele ya Samweli. Samweli akamwambia Yese, BWANA hakuwachagua hawa.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 16:10
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Samweli akamwambia Yese, Watoto wako wote wapo hapa? Naye akasema, Amesalia mdogo wao, na tazama, anawachunga kondoo. Basi Samweli akamwambia Yese, Tuma watu, wamlete; kwa sababu hatutaketi hadi atakapokuja huku.

Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, Wala BWANA hakumchagua huyu.

Basi Daudi alikuwa mwana wa yule Mwefrata, wa Bethlehemu ya Yuda, aliyeitwa jina lake Yese; naye huyo alikuwa na wana wanane; na yeye mwenyewe alikuwa mzee siku za Sauli, na mkongwe miongoni mwa watu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo