1 Samueli 16:9 - Swahili Revised Union Version9 Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, Wala BWANA hakumchagua huyu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu Mwenyezi Mungu hakumchagua.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu bwana hakumchagua.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, Wala BWANA hakumchagua huyu. Tazama sura |