1 Samueli 10:17 - Swahili Revised Union Version Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa. Biblia Habari Njema - BHND Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa. Neno: Bibilia Takatifu Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa Mwenyezi Mungu huko Mispa, Neno: Maandiko Matakatifu Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa bwana huko Mispa, BIBLIA KISWAHILI Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa |
Ndipo Yeftha akaenda pamoja na wazee wa Gileadi, na hao watu wakamfanya awe kiongozi, tena mkuu, juu yao; naye Yeftha akanena maneno yake yote mbele ya BWANA huko Mispa.
Ndipo wana wa Israeli walipotoka; na mkutano ukakutanika kama mtu mmoja, kutoka Dani hadi Beer-sheba, pamoja na nchi ya Gileadi wakamkutanikia BWANA huko Mispa.
Nao watu wote wakaenda Gilgali; wakamtawaza Sauli mbele za BWANA huko Gilgali; wakachinja sadaka za amani mbele za BWANA; na huko Sauli na watu wote wa Israeli wakafurahi sana.
Naye huenda mwaka kwa mwaka kuzunguka mpaka Betheli, na Gilgali, na Mispa; akawaamua katika miji yote ya Israeli.