Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Samueli 10:17 - Swahili Revised Union Version

17 Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa Mwenyezi Mungu huko Mispa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa bwana huko Mispa,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa

Tazama sura Nakili




1 Samueli 10:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nimekupa mfalme katika hasira yangu, nikamwondoa katika ghadhabu yangu.


Ndipo Yeftha akaenda pamoja na wazee wa Gileadi, na hao watu wakamfanya awe kiongozi, tena mkuu, juu yao; naye Yeftha akanena maneno yake yote mbele ya BWANA huko Mispa.


Ndipo wana wa Israeli walipotoka; na mkutano ukakutanika kama mtu mmoja, kutoka Dani hadi Beer-sheba, pamoja na nchi ya Gileadi wakamkutanikia BWANA huko Mispa.


Nao watu wote wakaenda Gilgali; wakamtawaza Sauli mbele za BWANA huko Gilgali; wakachinja sadaka za amani mbele za BWANA; na huko Sauli na watu wote wa Israeli wakafurahi sana.


Naye huenda mwaka kwa mwaka kuzunguka mpaka Betheli, na Gilgali, na Mispa; akawaamua katika miji yote ya Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo