Zekaria 8:5 - Swahili Revised Union Version5 Na hizo njia za mji zitajaa wavulana, na wasichana, wakicheza katika njia zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Barabara za Yerusalemu zitajaa wavulana na wasichana, wakichezacheza humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Barabara za Yerusalemu zitajaa wavulana na wasichana, wakichezacheza humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Barabara za Yerusalemu zitajaa wavulana na wasichana, wakichezacheza humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Barabara za mji zitajaa wavulana na wasichana wanaocheza humo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Barabara za mji zitajaa wavulana na wasichana wanaocheza humo.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Na hizo njia za mji zitajaa wavulana, na wasichana, wakicheza katika njia zake. Tazama sura |
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.