Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zekaria 8:1 - Swahili Revised Union Version

1 Neno la BWANA wa majeshi likanijia, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi likanijia mimi Zekaria:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi likanijia mimi Zekaria:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi likanijia mimi Zekaria:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Neno la Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni likanijia tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Neno la bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia tena.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Neno la BWANA wa majeshi likanijia, kusema,

Tazama sura Nakili




Zekaria 8:1
3 Marejeleo ya Msalaba  

Neno la BWANA likanijia, kusema,


Lakini nitawatawanya kwa kimbunga kikali katikati ya mataifa yote wasiyoyajua. Basi nchi walioacha ikawa ya ukiwa, hata hapakuwa na mtu aliyeipitia akienda wala akirudi; maana waliifanya nchi iliyopendeza kuwa ukiwa.


BWANA wa majeshi asema hivi, Mimi nina wivu kwa ajili ya Sayuni, wivu mkuu, nami nina wivu kwa ajili yake kwa ghadhabu kuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo