Zekaria 5:5 - Swahili Revised Union Version5 Ndipo yule malaika aliyesema nami akatokea, akaniambia, Inua macho yako sasa, uone ni kitu gani kitokeacho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Yule malaika aliyeongea nami alinikaribia, akaniambia, “Hebu tazama uone kile kinachokuja.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Yule malaika aliyeongea nami alinikaribia, akaniambia, “Hebu tazama uone kile kinachokuja.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Yule malaika aliyeongea nami alinikaribia, akaniambia, “Hebu tazama uone kile kinachokuja.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kisha yule malaika aliyekuwa akizungumza nami akanijia na kuniambia, “Tazama juu uone ni nini kile kinachojitokeza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kisha yule malaika aliyekuwa akizungumza nami akanijia na kuniambia, “Tazama juu uone ni nini kile kinachojitokeza.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Ndipo yule malaika aliyesema nami akatokea, akaniambia, Inua macho yako sasa, uone ni kitu gani kitokeacho. Tazama sura |