Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zekaria 5:1 - Swahili Revised Union Version

1 Basi, nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, gombo la kitabu lirukalo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kinachoruka!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Basi, nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, gombo la chuo lirukalo.

Tazama sura Nakili




Zekaria 5:1
9 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akaniambia, Ujipatie ubao mkubwa ukaandike juu yake kwa hati ya kawaida, Kwa Maher-shalal-hash-bazi;


Akaniuliza, Unaona nini? Nikajibu, Naona gombo la kitabu lirukalo; na urefu wake ni dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi.


Na katika mkono wake alikuwa na kitabu kidogo kimefunguliwa. Akaweka mguu wake wa kulia juu ya bahari, nao wa kushoto juu ya nchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo