Zekaria 14:6 - Swahili Revised Union Version6 Tena itakuwa siku hiyo, ya kwamba nuru yake haitakuwa na mwangaza na kiwi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wakati huo hakutakuwa baridi wala baridi kali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wakati huo hakutakuwa baridi wala baridi kali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wakati huo hakutakuwa baridi wala baridi kali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Siku hiyo hakutakuwa na nuru, baridi wala theluji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Siku hiyo hakutakuwepo nuru, baridi wala theluji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Tena itakuwa siku hiyo, ya kwamba nuru yake haitakuwa na mwangaza na kiwi; Tazama sura |