Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Zekaria 14:15 - Swahili Revised Union Version

15 Na hivyo ndivyo itakavyokuwa tauni ya farasi, na nyumbu, na ngamia, na punda, na ya hao wanyama wote watakaokuwamo kambini mle, kama tauni hiyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Maafa makubwa yatawakumba farasi, nyumbu, ngamia, punda na wanyama wote watakaokuwamo katika kambi hizo za maadui.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Maafa makubwa yatawakumba farasi, nyumbu, ngamia, punda na wanyama wote watakaokuwamo katika kambi hizo za maadui.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Maafa makubwa yatawakumba farasi, nyumbu, ngamia, punda na wanyama wote watakaokuwamo katika kambi hizo za maadui.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Tauni ya aina hiyo hiyo itapiga farasi na nyumbu, ngamia na punda, nao wanyama wote walio kwenye kambi za adui.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Tauni ya aina iyo hiyo itapiga farasi na nyumbu, ngamia na punda, nao wanyama wote walioko kwenye kambi za adui.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Na hivyo ndivyo itakavyokuwa tauni ya farasi, na nyumbu, na ngamia, na punda, na ya hao wanyama wote watakaokuwamo kambini mle, kama tauni hiyo.

Tazama sura Nakili

Zekaria 14:15
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na hii ndiyo tauni, ambayo BWANA atawapiga watu wote waliofanya vita juu ya Yerusalemu; nyama ya mwili wao itaharibika, wakiwa wamesimama kwa miguu yao, na macho yao yataharibika ndani ya vichwa vyao, na ndimi zao zitaharibika vinywani mwao.

Na kama jamaa ya Misri hawakwei, wala hawaji, pia haitanyesha kwao; itakuwako tauni, ambayo BWANA atawapiga mataifa, wasiokwea ili kuadhimisha sikukuu ya Vibanda.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo