Zekaria 12:9 - Swahili Revised Union Version9 Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitayaangamiza mataifa yote yatakayokuja kupigana na Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Siku hiyo, nitayaangamiza mataifa yote yanayotaka kuushambulia mji wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Siku hiyo, nitayaangamiza mataifa yote yanayotaka kuushambulia mji wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Siku hiyo, nitayaangamiza mataifa yote yanayotaka kuushambulia mji wa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Katika siku hiyo nitatoka kuangamiza mataifa yote yatakayoshambulia Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Katika siku hiyo nitatoka kuangamiza mataifa yote yatakayoshambulia Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitayaangamiza mataifa yote yatakayokuja kupigana na Yerusalemu. Tazama sura |