Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 92:1 - Swahili Revised Union Version

1 Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako sifa, Ee Uliye Juu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Ni vema kukushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kuliimbia sifa jina lako, ee Mungu Mkuu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Ni vema kukushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kuliimbia sifa jina lako, ee Mungu Mkuu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Ni vema kukushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kuliimbia sifa jina lako, ee Mungu Mkuu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ni vyema kumshukuru Mwenyezi Mungu na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ni vyema kumshukuru bwana na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana,

Tazama sura Nakili




Zaburi 92:1
22 Marejeleo ya Msalaba  

Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu.


Na wamshukuru BWANA, kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu.


Msifuni BWANA kwa kuwa BWANA ni mwema, Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza.


Haleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu sifa, Maana ni mwenye fadhili, na anastahili kuimbiwa sifa.


Mpigieni BWANA vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.


Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonesha wokovu wa Mungu.


Nitakushukuru milele kwa maana umetenda; Nitalingojea jina lako kwa kuwa ni jema; Mbele ya wacha Mungu wako.


Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu; Ee BWANA, nitalishukuru jina lako, maana ni jema.


Nami kumkaribia Mungu ni kwema kwangu; Nimefanya kimbilio kwa Bwana MUNGU, Niyahubiri matendo yako yote.


Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye Juu, enyi nyote.


Bali Wewe, BWANA, U Mtukufu hata milele.


Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.


Kwa habari zako, Ee mfalme, Mungu Aliye Juu alimpa Nebukadneza, baba yako, ufalme, na ukuu, na fahari, na utukufu;


mkisemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu;


Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamalo jina lake.


Basi, limesalia pumziko la sabato kwa watu wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo