Zaburi 85:7 - Swahili Revised Union Version7 Ee BWANA, utuoneshe rehema zako, Utupe wokovu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Utuoneshe, fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, utujalie wokovu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Utuoneshe, fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, utujalie wokovu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Utuoneshe, fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, utujalie wokovu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Utuoneshe upendo wako usiokoma, Ee Mwenyezi Mungu, utupe wokovu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee bwana, utupe wokovu wako. Tazama sura |
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.