Zaburi 85:8 - Swahili Revised Union Version8 Na nisikie atakavyosema Mungu BWANA, Maana atawaambia watu wake amani, Naam, na watauwa wake pia, Bali wasiurudie upumbavu tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hebu nisikie anachosema Mwenyezi-Mungu; maana anaahidi kuwapa watu wake amani, watu wake mwenyewe wasiporudia upuuzi wao Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hebu nisikie anachosema Mwenyezi-Mungu; maana anaahidi kuwapa watu wake amani, watu wake mwenyewe wasiporudia upuuzi wao Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hebu nisikie anachosema Mwenyezi-Mungu; maana anaahidi kuwapa watu wake amani, watu wake mwenyewe wasiporudia upuuzi wao Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye Mwenyezi Mungu; anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake: lakini nao wasirudie upumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye bwana; anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake: lakini nao wasirudie upumbavu. Tazama sura |