Zaburi 82:4 - Swahili Revised Union Version4 Mwokoeni maskini na mhitaji; Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Waokoeni wanyonge na maskini, waokoeni makuchani mwa wadhalimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Waokoeni wanyonge na maskini, waokoeni makuchani mwa wadhalimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Waokoeni wanyonge na maskini, waokoeni makuchani mwa wadhalimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mwokoeni maskini na mhitaji; Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu. Tazama sura |