Zaburi 81:1 - Swahili Revised Union Version1 Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha, Mshangilieni Mungu wa Yakobo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwimbieni kwa sauti Mungu, nguvu yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwimbieni kwa sauti Mungu, nguvu yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwimbieni kwa sauti Mungu, nguvu yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwimbieni kwa furaha, Mungu aliye nguvu yetu; mpigieni kelele za shangwe Mungu wa Yakobo! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mwimbieni kwa furaha, Mungu aliye nguvu yetu; mpigieni kelele za shangwe Mungu wa Yakobo! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha, Mshangilieni Mungu wa Yakobo. Tazama sura |