Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 71:1 - Swahili Revised Union Version

1 Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kwako ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama; kamwe usiniache niaibike!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kwako ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama; kamwe usiniache niaibike!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Kwako ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama; kamwe usiniache niaibike!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ee Mwenyezi Mungu, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ee bwana, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe.

Tazama sura Nakili




Zaburi 71:1
11 Marejeleo ya Msalaba  

Alimtumaini BWANA, Mungu wa Israeli; hata baada yake hapakuwa na mfano wake katika wafalme wote wa Yuda, wala katika hao waliomtangulia.


Wakapata msaada juu yao, nao Wahajiri walitiwa mikononi mwao, na wote waliokuwa pamoja nao; kwa kuwa walimlingana Mungu pale vitani; naye akayatakabali maombi yao, kwa sababu walimtumaini yeye.


Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautikisiki, wakaa milele.


Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa BWANA, Mungu wake,


Walikulilia Wewe wakaokoka, Walikutumainia, nao hawakuaibika.


Bali Israeli wataokolewa na BWANA kwa wokovu wa milele; ninyi hamtatahayarika, wala kufadhaika, milele na milele.


Na waaibike watu wanaoniudhi, lakini nisiaibike mimi; na waone hofu kuu, lakini mimi nisione hofu kuu; ulete juu yao siku ya uovu; uwaangamize maangamizo maradufu.


kama ilivyoandikwa, Tazama, naweka katika Sayuni jiwe likwazalo, na mwamba uangushao; Na kila amwaminiye hatatahayarika.


Kwa kuwa imeandikwa katika Maandiko: Tazama, naweka katika Sayuni jiwe kuu la pembeni, teule, lenye heshima, Na kila amwaminiye hatatahayarika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo