Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 70:5 - Swahili Revised Union Version

5 Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee BWANA, usikawie.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Lakini mimi bado ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee Mwenyezi Mungu, usikawie.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee bwana, usikawie.

Tazama sura Nakili




Zaburi 70:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana mimi ni mnyonge na mhitaji, Na moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.


Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo.


Nami ni maskini na mhitaji, Bwana atanitunza. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.


Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu, wokovu wako utaniinua.


Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, Yeye ajaye atakuja, wala hatakawia.


Yeye ayashuhudiaye haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo