Zaburi 7:1 - Swahili Revised Union Version1 BWANA, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe, Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nakimbilia usalama kwako; uniokoe na wote wanaonidhulumu, unisalimishe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nakimbilia usalama kwako; uniokoe na wote wanaonidhulumu, unisalimishe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nakimbilia usalama kwako; uniokoe na wote wanaonidhulumu, unisalimishe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ee bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia, Tazama sura |