Zaburi 6:5 - Swahili Revised Union Version5 Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa Kuzimu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa kuzimu? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru? Tazama sura |