Zaburi 6:4 - Swahili Revised Union Version4 BWANA urudi, uniopoe nafsi yangu, Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Unigeukie, ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe; unisalimishe kwa sababu ya fadhili zako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Unigeukie, ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe; unisalimishe kwa sababu ya fadhili zako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Unigeukie, ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe; unisalimishe kwa sababu ya fadhili zako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Geuka, Ee Mwenyezi Mungu, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Geuka Ee bwana, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 BWANA urudi, uniopoe nafsi yangu, Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako. Tazama sura |