Zaburi 5:4 - Swahili Revised Union Version4 Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya; Mtu mwovu hatakaa kwako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wewe si Mungu apendaye ubaya; kwako uovu hauwezi kuwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wewe si Mungu apendaye ubaya; kwako uovu hauwezi kuwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wewe si Mungu apendaye ubaya; kwako uovu hauwezi kuwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wewe si Mungu unayefurahia uovu, kwako mtu mwovu hataishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wewe si Mungu unayefurahia uovu, kwako mtu mwovu hataishi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya; Mtu mwovu hatakaa kwako; Tazama sura |