Zaburi 41:3 - Swahili Revised Union Version3 BWANA atamtegemeza alipo mgonjwa kitandani. Katika ugonjwa wake unamponya maradhi yake yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mwenyezi-Mungu atamsaidia awapo mgonjwa, atamponya maradhi yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mwenyezi-Mungu atamsaidia awapo mgonjwa, atamponya maradhi yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mwenyezi-Mungu atamsaidia awapo mgonjwa, atamponya maradhi yake yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mwenyezi Mungu atamtegemeza akiwa mgonjwa kitandani, na atamwinua kutoka kitandani mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 bwana atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani, atamwinua kutoka kitandani mwake. Tazama sura |
Wakamwambia, Mtu alitokea, akaonana nasi, akatuambia, Nendeni, rudini kwa mfalme yule aliyewatuma, mkamwambie, BWANA asema hivi Je! Ni kwa sababu hapana Mungu katika Israeli, hata mnakwenda kuuliza kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni? Basi kwa ajili ya hayo hutashuka katika kile kitanda ulichokipanda, bali hakika utakufa.