Zaburi 41:2 - Swahili Revised Union Version2 BWANA atamlinda na kumhifadhi hai, Naye atafanikiwa katika nchi; Wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwenyezi-Mungu atamlinda na kumweka hai, naye atafanikiwa katika nchi; Mungu hatamwacha makuchani mwa maadui zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwenyezi-Mungu atamlinda na kumweka hai, naye atafanikiwa katika nchi; Mungu hatamwacha makuchani mwa maadui zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwenyezi-Mungu atamlinda na kumweka hai, naye atafanikiwa katika nchi; Mungu hatamwacha makuchani mwa maadui zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mwenyezi Mungu atamlinda na kuyahifadhi maisha yake, atambariki katika nchi na hatamwacha katika tamaa ya adui zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 bwana atamlinda na kuyahifadhi maisha yake, atambariki katika nchi na hatamwacha katika tamaa ya adui zake. Tazama sura |