Zaburi 4:6 - Swahili Revised Union Version6 Wengi husema, Nani atakayetuonesha mema? BWANA, utuinulie nuru ya uso wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonesha jema lolote?” Ee Mwenyezi Mungu, tuangazie nuru ya uso wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonyesha jema lolote?” Ee bwana, tuangazie nuru ya uso wako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Wengi husema, Nani atakayetuonesha mema? BWANA, utuinulie nuru ya uso wako. Tazama sura |