Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Zaburi 39:2 - Swahili Revised Union Version

2 Nilikuwa sisemi, nilinyamaa kimya, Sina faraja, maumivu yangu yakazidi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Nilikuwa kama bubu, bila kusema kitu, nilinyamaza lakini sikupata nafuu. Mateso yangu yalizidi kuwa makali,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Lakini niliponyamaza na kutulia, hata pasipo kusema lolote jema, uchungu wangu uliongezeka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Lakini niliponyamaza kimya na kutulia, hata pasipo kusema lolote jema, uchungu wangu uliongezeka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Nilikuwa sisemi, nilinyamaa kimya, Sina faraja, maumivu yangu yakazidi.

Tazama sura Nakili

Zaburi 39:2
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, unifundishe njia ya amri zako, Nami nitaishika hadi mwisho.

Unifahamishe nami nitaishika sheria yako, Naam, nitaitii kwa moyo wangu wote.

Ee BWANA, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu.

Uache mabaya ukatende mema, Utafute amani ukaifuatie.

Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.

Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

maana sisi hatuwezi kuacha kuyanena mambo tuliyoyaona na kuyasikia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo