Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 32:2 - Swahili Revised Union Version

2 Heri ambaye BWANA hamhesabii hatia, Na ambaye rohoni mwake hamna hila.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Heri mtu ambaye Mwenyezi-Mungu hamwekei hatia, mtu ambaye hana hila moyoni mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Heri mtu ambaye Mwenyezi-Mungu hamwekei hatia, mtu ambaye hana hila moyoni mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Heri mtu ambaye Mwenyezi-Mungu hamwekei hatia, mtu ambaye hana hila moyoni mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Heri mtu yule ambaye Mwenyezi Mungu hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Heri mtu yule ambaye bwana hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 32:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

wala hamleti mlangoni pa hema ya kukutania, kama matoleo kwa BWANA mbele ya hema ya BWANA; mtu huyo atahesabiwa kuwa ana hatia ya damu; amemwaga damu; na atatupiliwa mbali na watu wake;


Basi Yesu akamwona Nathanaeli anakuja kwake, akanena habari zake, Tazama, Mwisraeli kweli kweli, hamna hila ndani yake.


maana kabla ya sheria dhambi ilikuwamo ulimwenguni, lakini dhambi haihesabiwi isipokuwapo sheria;


Kwa maana kujisifu kwetu ni huku, ushuhuda wa dhamiri yetu, ya kwamba kwa utakatifu na weupe wa moyo utokao kwa Mungu; si kwa hekima ya mwili, bali kwa neema ya Mungu; tulienenda katika dunia, na hasa kwenu ninyi.


Na katika vinywa vyao haukuonekana uongo. Maana hawana mawaa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo